Генераторы Briggs&Stratton Elite 8500 EA 030722 - инструкция пользователя по применению, эксплуатации и установке на русском языке. Мы надеемся, она поможет вам решить возникшие у вас вопросы при эксплуатации техники.
Если остались вопросы, задайте их в комментариях после инструкции.
"Загружаем инструкцию", означает, что нужно подождать пока файл загрузится и можно будет его читать онлайн. Некоторые инструкции очень большие и время их появления зависит от вашей скорости интернета.

Not for
Reproduction
5
Install carbon monoxide alarms
inside your home. Without working
carbon monoxide alarms, you will
not realize you are getting sick
and dying from carbon monoxide.
CARBON MONOXIDE ALARM(S)
USE OUTDOORS - AVOID CARBON MONOXIDE POISONING
point away
from home
MUFFLER
MAFLA
elekeza mbali
na nyumba
TUMIA NJE YA NYUMBA - EPUKA SUMU YA KABONI MONOKSIDI
Vipengele na Vidhibiti Kielelezo
1
Kufunga
Weka Gurudumu Kielelezo
2
1. Inamisha jenereta ili upande wenye injini uje juu.
2. Telezesha wosha (
A
) juu ya kibanio cha akseli (
B
).
3. Telezesha gurudumu (
C
) juu ya kibanio cha akseli
(
B
).
ILANI
Hakikisha kuweka gurudumu lenye kituo
kilichoinuka .
4. Telezesha kibanio cha akseli (
B
) kupitia mabano ya
kushikilia.
5. Weka pini ya kufunga (
D
) kupitia shimo lililo kwenye
kibanio cha akseli.
6. Rudia hatua ya 2 hadi ya 5 ili kufunga gurudumu la
pili.
7. Lainisha mashimo katika mguu unaoshikilia (
E
)
pamoja na fremu ya jenereta.
8. Funga mguu wa kushikilia ukitumia skrubu nne
zenye kishwa (
F
) na nati nne za kando (
G
). Kaza
ukitumia spana za milimita 10 na 13.
9. Rejesha jenereta kwenye mkao wa kawaida wa
kuendesha (ikiwa imesimama kwa magurudumu na
mguu wa kushikilia).
Unganisha Kebo Hasi (Negative) ya Betri
Kielelezo
1
1. Ukitumia spana za milimita 8, ondoa nati, wosha
ya kufunga, wosha tambarare na skrubu kwenye
kichwa hasi (negative) cha betri (—).
2. Telezesha wosha ya kufunga (
3, C
), wosha
tambarare (
3, D
) na kebo hasi (negative) ya betri
(
3, A
) juu ya skrubu (
3, B
) na utelezeshe kwenye
kichwa hasi (negative) cha betri (—). Rejesha nati
(
3, E
) na ukaze.
ILANI
Tumia chaja ya betri katika kituo cha kuchaji betri
(
1, D
) na kituo cha umeme cha ukutani ili kuweka betri ya
kuanzisha ikiwa na chaji na tayari kutumika.
Uendeshaji
Hatua ya 1: Eneo Salama
Kabla ya kuwasha jenereta ya kubebeka kuna mambo
mawili muhimu ya usalama kuhusu sumu ya kaboni
monoksidi na moto ambayo ni lazima yashughulikiwe.
Eneo la Kuendeshea Jenereta ya Kubebeka ili
KUPUNGUZA HATARI YA SUMU YA KABONI
MONOKSIDI
ONYO!
Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi,
gesi ya sumu ambayo inaweza kukuua kwa
dakika chache. Hauwezi kuinusa, kuiona, wala
kuionja. Hata kama hauwezi kunusa mafukizo
yanayotolewa, bado unaweza kuvuta gesi ya kaboni
monoksidi. Tumia bidhaa hii tu nje, mbali na madirisha,
milango na matundu ili kupunguza hatari ya gesi ya
kaboni monoksidi kukusanyika na uwezekano wa kuwa
inasambazwa kuelekea maeneo yenye watu. Sakinisha
ving'ora vya kutambua uwepo wa monoksidi ya kaboni
vinavyotumia betri pamoja na hifadhi ya betri kulingana
na maagizo ya mtengenezaji. Ving'ora vya moshi
haviwezi kutambua gesi ya monoksidi ya kaboni.
Usiendeshe bidhaa hii ndani ya nyumba, gereji, vyumba
vya chini ya ardhi, ubati, vibanda, au majengo mengine
yaliyobanwa hata kama unatumia viyoyozi ama kufungua
milango na madirisha ili hewa safi iingie. Gesi ya kaboni
monoksidi inaweza kukusanyika kwa haraka katika
maeneo haya na inaweza kukwama kwa saa kadhaa,
hata baada ya bidhaa hii kuzimwa. Kila wakati weka
bidhaa hii upande ambao upepo unatelekea na uelekeze
ekzosi mbali na maeneo yenye watu. Ukianza kuhisi
mgonjwa, kizunguzungu, au mchovu wakati unatumia
bidhaa hii, nende kwenye eneo lenye hewa safi mara
moja. Mwone daktari. Huenda umegusana na sumu ya
kaboni monoksidi.
A
Mita ya Saa
J
Kifuniko cha Tundu la
Kujazia Oili/Kifaa cha
Kupima Oili
B
Swichi ya Kuwasha
K
Kifuniko cha Kumwaga
Oili
C
Swichi Kuu ya Kukata
Umeme (30A)
L
Tangi la Mafuta
D
Eneo la Chajia Betri
M
Mafla ya Kishika Cheche
E
Plagi za Volti 230 za
AC (32A)
N
Chujio la Hewa
F
Plagi za Volti 230 za
AC (16A)
P
Wenzo wa Choki
G
Swichi ya Kukata
Umeme
Q
Stata ya Kurudi Nyuma
H
Kitango Ardhini
R
Vali ya Mafuta
3
VING’ORA VYA KABONI
MONOKSIDI
Weka ving’ora vya kaboni monoksidi
kwa boma lako. Bila ving’ora vya kaboni
monoksidi vinavyofanya kazi, hutaweza
kugundua unapoa endelea kugonjeka na
pia kufa kwa sumu ya kaboni monoksidi.